Math Songs | Ubongo Kids | Content, Structure, Values, etc. - in Swahili!
Jamani! Mwaka huu, Ubongo Kids ni ZAIDI ya hisabati na sayansi! Msimu huu si KAMA ULIVYOZOEA! Ubongo Kids MPYA inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Msimu wa 3 wa Ubongo Kids utakuandaa kifikra, ukichochea uwezo wako wa kung’amua matatizo na kuyatafutia ufumbuzi. Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Tazam Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia: /ubongokids /ubongokids Twitter: @UBONGOtz @UbongoKids Katuni mahususi iliyotengenezwa Afrika, kwa ajili ya wana wa Afrika!
नीचे दिए गए कार्ड पर टैप करके और एंटरटेनमेंट पिक्स देखें।
आपको ये भी पसंद आ सकते हैं
KS2 English
Year2 English
Read with Akili
KS2 English
JSS8 English
Year 8 English
JSS 3 Junior English
Grade 2 English Spelling Words
Level 7 English | Little Fox
SS3 English Language
JSS2 English Language
SS1 English Language
Learning for children
MTN Spelling BEE
English Grammar 4
New StoryBots Videos!
First Words
Pinkfong! Word Play
Grammar Basics for Kids 🧩 Building Blocks of Language!
الوحدة الاولى سادس ابتدائي 2026
Count and Move
Prepositions and Beyond: Mastering Language Arts! ✍️
Songs With -ing Verbs
Class 8 English Honeydew Book | Full Chapter Videos | Based on CBSE/NCERT Curriculum
टिप्पणियाँ
1 टिप्पणियाँ
Jamani! Mwaka huu, Ubongo Kids ni ZAIDI ya hisabati na sayansi! Msimu huu si KAMA ULIVYOZOEA! Ubongo Kids MPYA inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Msimu wa 3 wa Ubongo Kids utakuandaa kifikra, ukichochea uwezo wako wa kung’amua matatizo na kuyatafutia ufumbuzi. Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Tazam Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia: /ubongokids /ubongokids Twitter: @UBONGOtz @UbongoKids Katuni mah
