Wasichana Tunaweza! Angalia video hii ya Ubongo Kids KWA KIINGEREZA: Top 5 Girl Power Moments in Ubongo Kids! Endelea kuangalia kwenye TV kuiona kwa Kiswahili! Jamani! Mwaka huu, Ubongo Kids ni ZAIDI ya hisabati na sayansi! Msimu huu si KAMA ULIVYOZOEA! This video was made possible by a grant from the Goodall Foundation. Ubongo Kids MPYA inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Msimu wa 3 wa Ubongo Kids utakuandaa kifikra, ukichochea uwezo wako wa kung’amua matatizo na kuyatafutia ufumbuzi. Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia:
Tap a card below to continue exploring more entertainment picks.
You Might Also Like
Primary 2 English
Level 3 English | Little Fox
Year6 English
Level 9 English | Little Fox
Year 1 English
The Alphabet in Magical Lands
Year5 English
Year 10 English
Level 8 English | Little Fox
Year8 English
Grade 10 English
Level 4 English | Little Fox
KS1 English
Year 11 English
Level 6 English | Little Fox
JSS7 English
KS2 English
Primary 3 English
PrePrimary English
Level 1 English | Little Fox
Primary 5 English
PrePrimary English
JS 1 English
JS 2 English
Comments
1 Comments
Wasichana Tunaweza! Angalia video hii ya Ubongo Kids KWA KIINGEREZA: Top 5 Girl Power Moments in Ubongo Kids! Endelea kuangalia kwenye TV kuiona kwa Kiswahili! Jamani! Mwaka huu, Ubongo Kids ni ZAIDI ya hisabati na sayansi! Msimu huu si KAMA ULIVYOZOEA! This video was made possible by a grant from the Goodall Foundation. Ubongo Kids MPYA inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Msimu wa 3 wa Ubongo Kids utakuandaa kifikra, ukichochea uwezo wako wa kung’amua matatizo na kuyatafutia ufumbuzi. Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayow
