Unveiling the "NISIULIZWE" Visualizer by Jux Immerse yourself in a visual masterpiece directed by Xniper Cg, complementing the soulful melody of Jux's latest track. 🌟 The Kompa Sound, crafted by S2Kizzy, harmonizes seamlessly with the emotive vocals. 🎶🎬 Executive Producer SwaggDaddyRay ensures a perfect blend of talent. Experience the magic now! © 2024 AFRICAN BOY REC Jux - Nisiulizwe Lyrics Yo yo, you’re so fine Babe (Hey) I do this for you Aah ah, Mmmh Verse: Nahisi, Niko kwenye njozi Huba limenikolea, Kuamka sitamani (Yee) Tena nakusihi, Ulilinde penzi Mwenzako nimenogewa, Hoi tahabani (Hoi tahabani) Na hata nikiumwa, We ndo unanitibu Wangu daktari Kukupenda, Ni wajibu Nisiulizwe maswali Baby, Nipe taratibu Huo utamu asali Kukupenda ni wajibu Nisiulizwe no no! Chorus: Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe) Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe) Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe) Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe) Sababu I Love You Eeeh I Love You Mmmh Verse: Naanzaje kukucheat, nakifata kipi Hakuna jipya duniani, nishafanya utafiti Tena umewaacha mbale, Ulipo we hawafikii Maombi yangu toka kale, Nimepata rafiki (Mmmh) Na hata nikiumwa, We ndo unanitibu Wangu daktari Kukupenda, Ni wajibu Nisiulizwe maswali Baby, Nipe taratibu Huo utamu asali Kukupenda ni wajibu Nisiulizwe no no! Chorus: Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe) Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe) Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe) Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe) Sababu I Love You Eeeh I Love You #Jux #Nisiulizwe #King
कलाकार
Jux
Singer
नीचे दिए गए कार्ड पर टैप करके और एंटरटेनमेंट पिक्स देखें।
आपको ये भी पसंद आ सकते हैं
Alikiba - Infidèle (Official Music Video)
Rayvanny X Baba Levo - Ngongingo (Official Video)
Willy Paul Ft Guchi - YOU - ( Official Video )
Jah Master-Vhuramai (Official Video)
DRIEMO ft Yo Maps - POPO REMIX (official audio visualizer) #Mzaliwa
Y CELEB-SOLDIER-Official Music Video
Sidiki Diabaté - Bi Kadi Ni Kounouye
Teddy Afro - Helm Aydegemem (Lyrics) | Ethiopian Music
Ethiopian music: Yared Negu - Zelelaye(ዘለላዬ) - New Ethiopian Music 2017(Official Video)
Toofan - Gbessi Gbeko
Ralycia - Ségné [Clip officiel]
Abby Lakew - Yene Habesha | የኔ አበሻ - New Ethiopian Music Music Video
Eli Njuchi - Mije (Official Music Video)
Eddy Kenzo X Harmonize - Inabana (Official Video)
DEZ ALTINO- tu connais pas
Teddy Afro - Ethiopia - ኢትዮጵያ - May 1, 2017
Oumou Sangaré - Kayini Wura
Tony X - Laetitia [Clip officiel]
Dj Vyrusky - BABY ft Shatta Wale ,Kuami Eugene & KiDi (Official Video)
Daphne - Jusqu'à La gare (Official Video)
Rich Bizzy - Kufuna (official video)
Daphne - Là Bas (Official Video)
Triple M Ft Jay Trek & Chile Breezy - Mpaleni (Official Video)
teddy Afro jah yasteseryal
टिप्पणियाँ
1 टिप्पणियाँ
![Jux - Nisiulizwe (Official Audio) [Visualizer]](https://pbcdnw.aoneroom.com/image/2024/12/13/76c774e77aa7823383ec90fe816e1c29.jpg)