Israel Mbonyi - Sikiliza

Religious
वर्ष2024
अवधि11m

stream at https://bfan.link/sikiliza Follow Israel Mbonyi at https://israelmbonyi.com https://instagram.com/israelmbonyi https://facebook.com/israelmbonyii https://twitter.com/israembonyi https://www.tiktok.com/@israelmbonyi Contacts : Information : Info@israelmbonyi.com Bookings : Booking@israelmbonyi.com Sikiliza Dunia ______________ Verse: Kwa Sasa ya dunia Kwangu Ni kama yameangikwa Yaliyokuwa faida Nayahesabu kama hasara Sikiliza dunia Ujue kwamba mimi si wako. Chorus: Nimehesabiwa haki Kwa damu yake mutetezi Jina langu Limeandikwa, Kwenye kitabu cha uzima Sikiliza dunia , Ujuwe kwamba mimi si wako Verse: Sasa maumivu Hayanitishi Nitayasahau kwa Yesu Haijadhihirika nitakavyokuwa Tutafanana akidhihilika Éwé mbingu Yakiri Haya maneno Ayiweeeee, Kweli dunia Mi si wako ©12stonesRecord

कलाकार

Israel Mbonyi

Singer

नीचे दिए गए कार्ड पर टैप करके और एंटरटेनमेंट पिक्स देखें।

आपको ये भी पसंद आ सकते हैं

टिप्पणियाँ

1 टिप्पणियाँ

BiancaDec 13, 2024