Neema Gospel Choir - Permanent (Live Music Video)

Neema Gospel Choir - Permanent (Live Music Video)

Neema Gospel Choir - Permanent (Live Music Video)

PopPop
Year

2024

Duration

7m

Genre

Pop

Tunamshukuru Mungu kwa mambo ya ajabu aliyotenda maishani Mwetu. Baraka na matendo yake yametuletea furaha na nguvu nyakati zote, hata nyakati za shida. Kama asemavyo Mwandishi wa Zaburi, "BWANA alitutendea mambo makuu, Tulikuwa tukifurahi." (Zaburi 126:3). ๐Ÿ—ฏ๏ธ๐Ÿ—ฏ๏ธ๐Ÿ—ฏ๏ธ๐Ÿ—ฏ๏ธ Kupitia wimbo huu wa PERMANENT tunaweza kuona ndani yake kuna: ๐Ÿ“ŒShukurani ya KiMungu (Divine Gratitude): Shukurani kwa matendo makuu ambayo Mungu ameyafanya katika maisha yetu. ๐Ÿ“ŒImani na Ujasiri (Faith and Confidence): Ujasiri na uhakika katika uwepo na msaada wa Mungu katika maisha yetu. ๐Ÿ“ŒUlinzi na Uwakili (Protection and Advocacy): Mungu anaelezwa kama mlinzi na mwakilishi ambaye huhakikisha usalama wetu na kupigania haki zetu. ๐Ÿ“ŒKudumu kwa Baraka (Permanent Blessings): Dhana ya agano la kudumu la baraka za Mungu inasisitizwa, ikionesha uhusiano usiovunjika na endelevu kati yetu na Mungu. ๐Ÿ“ŒKutokuwepo kwa Hofu (Absence of Fear): Hakikisho kutoka kwa Mungu husababisha kutokuwepo kwa hofu na taharuki katika maisha yetu. Songwriter & Composer: Samuel Limbu & Fredrick Japhet Masanja Leader: โ David Kusekwa, Mariam Protace & Esther Isaac Kilago โ€”โ€” VICTORIOUS JOURNEY PRODUCT held on 01st December 2023 at Uhuru Stadium - Dar es Salaam. ๐—–๐—ฅ๐—˜๐——๐—œ๐—ง: ๐•๐ข๐๐ž๐จ ๐ƒ๐ข๐ซ๐ž๐œ๐ญ๐จ๐ซ: Amigo Johnson ๐•๐ข๐๐ž๐จ ๐„๐๐ข๐ญ๐จ๐ซ: Titus Alfred ๐€๐ฎ๐๐ข๐จ: Victorious Production ๐’๐จ๐ฎ๐ง๐ & ๐’๐ญ๐š๐ ๐ž: ABE Professional Sound ๐’๐œ๐ซ๐ž๐ž๐ง: ABE & Ryzen ๐’๐จ๐ฎ๐ง๐ ๐„๐ง๐ ๐ข๐ง๐ž๐ž๐ซ: Jeddy ๐Œ๐จ๐ง๐ข๐ญ๐จ๐ซ ๐„๐ง๐ ๐ข๐ง๐ž๐ž๐ซ: Junior Albert (Gaddy) ๐‹๐ข๐ ๐ก๐ญ๐ฌ ๐๐ซ๐จ๐ฏ๐ข๐๐ž๐ซ: Allan Lights ๐‹๐ข๐ ๐ก๐ญ๐ข๐ง๐  ๐„๐ง๐ ๐ข๐ง๐ž๐ž๐ซ: Maxlifah. (Max the Alternative) ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช ๐’๐ญ๐š๐ ๐ž ๐ƒ๐ž๐ฌ๐ข๐ ๐ง: Parmena Winfred ๐๐ซ๐จ๐๐ฎ๐œ๐ญ๐ข๐จ๐ง ๐Œ๐š๐ง๐š๐ ๐ž๐ซ: Production Fundam

You Might Also Like