Madaling Maaaring - Ubongo Kids Singalong

Madaling Maaaring - Ubongo Kids Singalong

Madaling Maaaring - Ubongo Kids Singalong

MatematikaMatematika
Taon

2014

Tagal

3m

Genre

Matematika

Imba na Mama Ndege! Huu wimbo wa taarab unafundisha kuhusu desimali. Angalia Ubongo Kids (proud partner of CRDB Bank) kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1! Na pata webisodes zote kupitia: Ubongo Kids ni mfululizo mpya wa hadithi za kusisimua iliyo katika mfumo wa elimu-burudani kutoka UBONGO MEDIA ya Dar es Salaam. Inaonyeshwa kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1. /ubongokids /ubongokids /ubongotz Copyright Ubongo Ltd. 2014

Maaari Mo Ring Magustuhan