NIPO NYONYO Shamba la babu , nalima Nivune muhogo na shina ni weh Tambarale mwa milima Kufika kilele lazima Bridge: Nilishathubutu kupenda nisipopendwa Lakini siachi, ooh siachi Msumali wenye kutu nilichomwa nkapata donda Lakini siachi, ooh siachi Nilikondeana nashukuru hivi sasa mashallah Mambo mwanana, nimesitirika hewalah Nimelipata bwana Lakunidekeza nalala Tumeridhiana sina Muda wa kum chiti wala Eeh Chorus: Nipo nyonyo Nipo titi (Aah nimejaaa tele) Nalishwa vinono nipo fiti (Aah, nimejaa tele) Aaah Nipo nyonyo , nipo titi (Aah nimejaa tele) Nalishwa vinono Nipo fiti (Aah nimejaa tele) VERSE 2 Sitaki chupa ya soda baby niletee energy Wajue upo na mimi watumie meseji ah Mi hoi lege lege Nitupie kwa bedi Kabisa n'garagaze, Mpaka ni dead Bridge: Nilishathubutu kupenda nisipopendwa Lakini siachi, ooh siachi Msumali wenye kutu nilichomwa nkapata donda Lakini siachi, ooh siachi Nilikondeana nashukuru hivi sasa mashallah Mambo mwanana, nimesitirika hewalah Nimelipata bwana Lakunidekeza nalala Tumeridhiana sina Muda wa kum chiti wala Eeh Chorus: Nipo nyonyo Nipo titi (Aah nimejaaa tele) Nalishwa vinono nipo fiti (Aah, nimejaa tele) Aaah Nipo nyonyo , nipo titi (Aah nimejaa tele) Nalishwa vinono Nipo fiti (Aah nimejaa tele) Boomplay: https://www.boomplay.com/artists/21018591from=search Audiomack: https://audiomack.com/saraphina/song/upo-nyonyo Catch Up With Phina On: Instagram:https://www.instagram.com/phina__tz/ Facebook:https://www.facebook.com/saraphinatz/ Twitter:https://twitter.com/phina__tz #Uponyonyo #phina #Upotiti
कलाकार
Phina
Singer
नीचे दिए गए कार्ड पर टैप करके और एंटरटेनमेंट पिक्स देखें।
आपको ये भी पसंद आ सकते हैं
Zuchu - Chapati (Official Dance Video)
Zuchu - Naringa (Official Music Video)
Zuchu - Mwambieni (Official Music Video)
DIAMOND PLATNUMZ ft OMARION - African Beauty (Clean Version)
Diamond Platnumz - Unachezaje (Official Music Video)
Mbosso - Mtaalam (Official Music Video)
Harmonize Ft Diamond Platnumz - BADO (Official Music Video)
Jah Prayzah Ft. Diamond Platnumz - Watora Mari (Official Video)
Zuchu - Nyumba Ndogo (Official Music Video)
Diamond Platnumz ft Rayvanny - Salome (Traditional Official Music video)
Mbosso - Sitaki (Official Music Video)
Mbosso - Limevuja (Official Audio)
Mbosso - Haijakaa Sawa (Official Music Video)
Aslay - Likizo (Official Video)
Mbosso - Nadekezwa (Official Music Video)
Rayvanny Ft Diamond Platnumz - Tetema (Official Video) SKIZA Dial *811*180#
Macvoice Ft Rayvanny - Tamu (Official Video)
Diamond Platnumz - Gidi (Official Music Video)
Zuchu - Hasara (Official Audio)
Diamond Platnumz - Baba Lao (Official Music Video)
Diamond Platnumz - Somebody (Official Music Video)
Mbosso - Tamba (Official Music Video)
Diamond Platnumz - Fine (Official Music Video)
Diamond Platnumz - Wonder (Official Video)
टिप्पणियाँ
1 टिप्पणियाँ
