A masterclass in lyrical finesse and self-assured delivery, “Tai Chi” blends street wisdom with poetic grit. Nyashinski weaves bars about success, status, and the hustle of Nairobi life — delivering each line with a fluidity and force that “hits from afar like Tai Chi.” "Uko kwa traffic bila AC Unascroll tu malele IG Niko na bed 6 uko kwa bedsitter Siku hizi sura yenyewe ID Naeza drive gari mkebe na steez Naishi side ya njeve na trees, uh! Naamkanga saa najiskia Na navaa tie kaa najiskia Luku safi juu stunnas Oud Satin Mood lover Nakeep time tukikutana Na Namake sure unacome first, Good manners Good heavens, Alafu good riddance, Nakuguarantee utanimiss Wewe Nakugarantee utanimiss Utanimiss Ukishajua mbona wote Wananiita master, ama daddy, Nilizaliwa Nai Hizi streets jina yangu ID inagonga kutoka far kama tai chi Inagonga kutoka far kama tai chi Inagonga kutoka far kama tai chi Inagonga kutoka far kama tai chi Kkkk kama tai chi kkkk kama tai chi Nikidrop hawaezi kwara Wanairukia ni kaa imetupwa nyara Ukiangalia unaona tu msafara Kaa siafu, na hizo tu ni dallaz Nahesabu, Bila hitilafu, Bila wass Bila curfew Najituma, navuna Kama kuna works ya kuskuma naskuma Hizi streets hazitakangi maduanzi Kuna jam ya watu wanasaka ganji Na ma youth wanaasha tu mabangi Kulalia maskio hatutakangi Ma scammer hutarget watu wa mũcatha Brother, hapa kaa rada Utadhania ni get rich quick Kumbe zimedisappear ki Abracadabra Wananiita master, ama daddy, Nilizaliwa Nai Hizi streets jina yangu ID inagonga kutoka far kama tai chi Inagonga kutoka far kama tai chi Inagonga kutoka far kama tai chi Inagonga kutoka far kama tai chi Kkkk kama tai chi kkkk kama tai chi Wananiita master, ama my g Hawanisaidii Hizi streets jina yangu ID Inagonga kutoka far kama tai chi Gonga kutoka far kama?"
कलाकार
Nyashinski
Singer
नीचे दिए गए कार्ड पर टैप करके और एंटरटेनमेंट पिक्स देखें।
आपको ये भी पसंद आ सकते हैं
ZUWENA BONGO MIX 2023|DJ RISLEY|Diamond platinumz,Jay melody,YATAPITA,Zuchu,Harmonize,Rayvanny,Rema
DJ 38K BEST OF 2023 HITS | NOBODY | BIEN | KASKIE VIBAYA | SPYRO | AMAPIANO | DANCEHALL
BEST SWAHILI WORSHIP MIX OF ALL TIME | 2+ HOURS OF NONSTOP WORSHIP GOSPEL MIX | DJ KRINCH KING
Alan Jackson,Kenny Rogers, Dolly Parton, George Strait ⭐ The Legend Country Songs Of All Time HQ21
ArianaGrande Mix 2023
Mariah Carey Greatest Hits Full Playlist Best Songs Of Mariah Carey Collection
Rihanna | Megamix [2022]
Fally Ipupa - Mayanga (Clip officiel)
Fally Ipupa - Alliance (Clip Officiel)
Busy Signal, Prettii Prettii - Mek Eh Bounce (Official Music Video) ft. Konshens
Fally Ipupa - Un coup feat. Dadju (Clip officiel)
“Your Idol” Saja Boys’ HYPNOTIC Performance | Song Clip | KPop Demon Hunters | Netflix Family
Rani Rastaciti - Illicit (Official Video)
Ciara, Diamond Platnumz - Low (Official Music Video)
Skillibeng - Ivany (Official Audio)
Vybz Kartel - Colouring This Life
Marioo & Abbah - Lonely (Official Music Video)
Hongo Ya Karao Vol. II - Toxic Lyrikali, Mauru Gwash & Kapitani (Official Video)
Kapitani - Mimi (Official Visualizer)
Harmonize Ft Jay Melody - Imeshindikana (Official Visualizer)
COLLOBLUE FT NDOVU KUU - DANCE SAMAWAAH ( Official Music Video)
Nandy, Mbosso & S2kizzy - Malaika (Official Music Video)
Kapitani - SINGLE ( Official Music Video)
Nandy & Marioo - Somebody (Visualizer)
टिप्पणियाँ
1 टिप्पणियाँ
