Obby Alpha - MJINI ( Official Video ) For SKIZA SMS 69810381 To 811

Pop
Taon2024
Tagal4m

YEREMIAH 17;5 BWANA amesema hivi,Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu,Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake na Moyoni mwake amemwacha Mungu . Mjini Lyrics Chorus Ni Mungu ,ndo ananiweka mjini Sio mtu sasa niogope nini? Ni Mungu ,ndo ananiweka mjini Sio mtu sasa niogope nini? Sishikiki. Ni Mungu ,ndo ananiweka mjini Sio mtu sasa niogope nini? Ni Mungu ,ndo ananiweka mjini Sio mtu sasa niogope nini? Sishikiki. Verse 1 Waliosema nitafeli (Pameanza kuchangamka). Eti mimi sistahili (Pameanza kuchangamka). Waliosema nitafeli (Pameanza kuchangamka). Eti mazuri si yangu, Kweli maisha ni safari,ila (Sishikiki). Mungu kashika usukani,Usukani. Hata ine shida gani ,da gani ,(Sishikiki). Ananipigania ,nia. Bridge Mi kinachonipa ujasiri,Ni Mungu Mbinguni sio mtu duniani eeh. Mi kinachonipa ujasiri,Ni Mungu Mbinguni sio mtu duniani eeh. Mi hata munikatae (Sawa) Inatosha akinipenda (Bwana) Mambo yangu kayaweka (Sawa) Inatosha akinipenda (Bwana ) Ooh hata munikatae (Sawa ) Inatosha akinipenda (Bwana ) Mambo yangu kayaweka (Sawa ) Inatosha akinipenda eeeh Chorus Ni Mungu ,ndo ananiweka mjini Sio mtu sasa niogope nini? Ni Mungu ,ndo ananiweka mjini Sio mtu sasa niogope nini? Sishikiki. Ni Mungu ,ndo ananiweka mjini Sio mtu sasa niogope nini? Ni Mungu ,ndo ananiweka mjini Sio mtu sasa niogope nini? Sishikiki. Verse 2 Hellow hellow jirani,nataka nikwambieeh sitokutegemea wewe. Na ooh Hellow hellow Rafiki,nataka nikwambieee sitokutegemea wewe. Wala si kwa ubaya ,naepuka laana. Niliyoahidiwa,nikimtegemea mwanadamu Si kwa ubaya ,naepuka laana. Niliyoahidiwa,nikimtegemea mwanadamu Bridge Mi kinachonipa ujasiri,Ni Mungu Mbinguni sio mtu duniani eeh. Mi kinachonipa ujasiri,Ni Mungu Mbinguni sio mtu duniani eeh. Mi hata munikatae (Sawa) Inatosha akinipenda (Bwana) Mambo yangu kayaweka (Sawa) Inatosha akinipenda (Bwana ) Ooh hata munikatae (Sawa ) Inatosha akinipenda (Bwana ) Mambo yangu kayaweka (Sawa ) Inatosha akinipenda eeeh Chorus Ni Mungu ,ndo ananiweka mjini Sio mtu sasa niogope nini? Ni Mungu ,ndo ananiweka

Cast

Obby Alpha

Singer

I-tap ang card sa ibaba para magpatuloy sa mas marami pang entertainment picks.

Maaari Mo Ring Magustuhan

Mga Komento

1 Mga Komento

user1602663788623Jul 8, 2025